Are Kenyans generous enough to help each other? ama sisi ni wabinafsi? swala komavu?

Are Kenyans generous enough to help each other? ama sisi ni wabinafsi? swala komavu? (or are we selfish? talking point?) –Radio interview generated discussions on Milele FM

Top of Form

Like · · Share

Sammy Lee Some lakini si wote.

Lameck Obiero Wabinafsi hata mimi!

Anderson Amutabi Shihemi Itemere Kwa maneno ya mdomo tu wakarimu sana,lakini matendo yetu ndio yanatutia aibu,ubinafsi kwa wingi!

Felix Ngomo Some of them including me!

Erick Hurstler Si wote, a very small percentage.

Rozy A Hone it depends with an individual …..not all can be helped….

Ouma Odhiambo Anyango sisi wakenya bado hatuja fika katika hali ya ku saidiana,ukabila,kisiasa,uwezo wa kifedha na kadhalika

Tarus Benard Arapkiptugen The big problem is steotypes and tribalism among kenyans

Sammy Adura ‎80% ubinafsi..hpe God wl intervine for the graf 2 drop.

Bonny Musindi Surely Viny kenyans tunasaitiana sana and we r very generous,u remember kenyan for kenyan fund rise,

Edgar Mamai We are not bcoz tunaclaim hatuna uwezo, tunaamini kutoa usaidizi lazima mtu awe milionaire na hatatukiwamillionaire tunanyanyasa wasio na uwezo

Brian Atika It depends to how u relate to the one who is try to be generous to u! Gotea mogaka hapo

James Otieno WAKENYA WOTE NI WAKABILA, WE CAN NEVER HELP EACH OTHER PERIOD

Masindano Omoto Some are giving a helping hand 2 their own close relative & friends.Kenyans are also making riches in the name of helping the poor and is wrong.

Jimmy Gathu kutoka Mwireri,Olkalou Ateya wengine hata ukiwasaidia leo, keshoye watasahau kuwa jana uliwasaidia. kwa hivyo generosity itapatikana aje?

Arnold Musyoki For sure some kenyans r generous while others r not. Arnold @ egerton

Bernard Chirchir Sambu No. Kila mtu na mungu wake, na mungu wetu sisi wote.

Edwin Masi WE BELIEVE IN THE MOTTO: One 4 himself,God 4 us all

Ivankev Kevogo Amuguni Doing what’s right,the opinion of man in kenya is no substitute for the word To help,instead of putting others in their place want themself at d place! KENYA WE ARE ABLE.put yourself in their place%

Anne Wairish it all starts with u as an individual,umesaidia nani?well ukicount zile ten or twenty bobs sisi hurusha kwa vikombe vya wasiojiweza town….sisi wakenya we r very generous people.but shida ni hatujui nani nimwongo/conman thats y we sheild ourselves from helping people.

Hassan Kalu Jefwa Hata kwetu wako! Wenye kusaidia na wabinafsi. Nice day to you all Inshaallah.

Ogachi Anderson We do help those who can reciprocate the same 2 us when we are in need.Again we fear the repercusions as in questions will arise as 2 where do u get the money from?gud day.

Dorothy Bitengo Sometimes w r n samtimes not. Its tym 2 b komplitly generus zin thos who hav shud share.

Ivankev Kevogo Amuguni KENYAN WE CAN REFLECT GOD’S LOVE BY HELPING WITHOUT DRY EYES.GOD POURS HIS LOVE INTO OUR HEARTS TO FLOW OUT TO OTHERS’ LIVES.

Andrew Morimbori ATEYA, WATU WANASAIDIA ILI BAADAYE WAFAIDIKE AU WANUFAIKE. YAANI WANASAIDIA KWA MALENGO. GOTEA BENARD SAMBOJA WA WATAMU.

Daniel Vunyagane La….wakenya mabwenyenye wakiwa wabinafsi wa ajabu.Mimi nimeshuhudia watoto wa Mkubwa mmoja wa Jeshi la Kenya wakiwa wote na kazi za serikali hadi wajukuu niliosoma nao.Si vibaya lakini la kushangaza ni kuwa wale majirani wamemzingira ni maskini kweli.Hajawahi somesha mtoto hata mmoja wa hawa maskini jirani.Ajabu ni kuwa baada ya watoto wa maskini jirani kumaliza Sekondari walipata (B- and C+),hawajasahidiwa kuingia jeshi ama serikali kama desturi.Aliwahitisha pesa kuwasaidia waigie Jeshi.Niko na thibitisho.Je huu ni utu?Mmbona tuko na IDPs WHEREAS Wakenya tuko?

Daniel Song’ Imebidi tubadili nia Bwana Ateya. Imagine someone burning himself wth cooking oil intentionally then comes to the streets ati we help him to get money for medication! I wanted to take him to hospital but he blutantly denied! My well wishing heart has been broken. Daniel Sang – Nairobi.

William Wandabwa A few of the rare kind can help.

Evans Ochudi Watu wamekuwa wa kujipenda wenyewe,hawana ule utu tena.Ateya,if really kenyans can help one another,hakungekuwa na hate speeches etc…tungekuwa tunaishi kwa umoja.

Nicolas Chelamai Korir Wakenya ni wabinafsi

Bottom of Form

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s